๐Ÿซ Tropical Centre: Muhula Mpya wa Masomo Umeanza!

Tunapenda kuwajulisha wadau wetu wote kuwa tumeanza rasmi muhula mpya wa masomo kwa intake ya mwezi Oktoba (10), 2025.

๐Ÿ“‹ Usajili wa wanafunzi bado unaendelea hadi tarehe 15 Novemba 2025.
Usikose nafasi yako โ€” karibu upate fomu yako leo!

๐Ÿ‘‰ Chagua kozi unayotaka kusoma kwa kubofya kitufe cha โ€œKoziโ€ kisha jijisajili moja kwa moja.
Baada ya kumaliza usajili, utaweza kupakua fomu yako ya maombi mara moja.

Karibu Tropical Centre โ€“ The Centre of Learning! ๐ŸŒฟ
๐Ÿ”— www.tropicalcentre.ac.tz