Related Updates/News

Tropical centre institute inapenda kuwaarifu wanafunzi wote waliofanya mtihani wa kuhitimu chuo mwaka 2026 mwezi wa kwanza(january) kuwa matokeo bado yapo hapa kwenye tovuti ya chuo ili upate fanya kubofya na kupakua kwenye hiyo attachement https://tropicalcentre.ac.tz/wp-content/uploads/2026/04/TROPICAL-CENTRE-FINAL-RESULTS-JANUARY-2026.pdf hivyo kwa yeyote mwenye supplimentary afanye kuwahi mapema mwezi wa sita(june) ratiba itatolewa hivi punde.