Related Updates/News
Tunapenda kuwajulisha wadau wetu wote kuwa tumeanza rasmi muhula mpya wa masomo kwa intake ya mwezi Oktoba (10), 2025.
๐ Usajili wa wanafunzi bado unaendelea hadi tarehe 15 Novemba 2025.
Usikose nafasi yako โ karibu upate fomu yako leo!
๐ Chagua kozi unayotaka kusoma kwa kubofya kitufe cha โKoziโ kisha jijisajili moja kwa moja.
Baada ya kumaliza usajili, utaweza kupakua fomu yako ya maombi mara moja.
Karibu Tropical Centre โ The Centre of Learning! ๐ฟ
๐ www.tropicalcentre.ac.tz