FOMU MPYA FOMU MPYA

Tangazo Muhimu kwa Wadau Wote

Tropical Centre Institute inafuraha kuwataarifu kuwa fomu za kujiunga kwa mwaka wa masomo 2026 sasa zinapatikana rasmi!

๐ŸŽ“ Jiunge nasi leo na upate nafasi ya kusoma katika taasisi inayotambulika kwa ubora wa elimu, mazingira mazuri ya kujifunzia, na maendeleo ya kitaaluma.

๐Ÿ“Œ Omba sasa kupitia tovuti yetu:
tropicacentre.ac.tz

๐Ÿ“ž Kwa maelezo zaidi, tafadhali wasiliana nasi kupitia ujumbe au tembelea tovuti yetu kwa taarifa kamili kuhusu kozi na taratibu za usajili.

Karibu Tropical Centre Institute โ€“ Mahali Sahihi pa Mafanikio Yako ya Elimu!