FOMU YA MWAKA WA MASOMO 2026

Tangazo Muhimu kwa Wadau Wote!

Tropical Centre Institute inayo furaha kutangaza kwamba fomu za kujiunga kwa mwaka wa masomo 2026 sasa zinapatikana!

📚 Jisajili sasa kupitia tovuti yetu: tropicacentre.ac.tz

Usikose fursa hii muhimu ya kujiunga na taasisi inayojulikana kwa ubora wa elimu.

Kwa maelezo zaidi, usisite kututumia ujumbe au kutembelea tovuti yetu.

Karibu!