Related Updates/News
Tropical Centre Institute inawakaribisha wanafunzi wapya na waendelea kujiunga na intake mpya itakayofunguliwa rasmi tarehe 26 Januari 2026. Ni fursa ya kujiendeleza kielimu kupitia kozi zetu za kiwango tofauti, zinalengwa kukuza ujuzi wa vitendo na sifa za kitaaluma zinazohitajika kwenye soko la kazi.
Taarifa muhimu:
– Tarehe ya ufunguzi: 26 Januari 2026
– Wanafunzi wote na kozi zote zinahusishwa
– Usajili unaendelea — hakikisha umewasilisha nyaraka zote muhimu na malipo kwa wakati
Kwa maelezo ya kina kuhusu mchakato wa usajili, vigezo vya kujiunga, ratiba na ada, tembelea tovuti yetu: tropicalcentre.ac.tz au wasiliana na Ofisi ya Usajili.