Related Updates/News
Tropical centre institute inapenda kuwaarifu wanafunzi wote waliofanya mtihani wa kuhitimu chuo mwaka 2025 mwezi wa 7 (july) kuwa matokeo bado yapo hapa kwenye tovuti ya chuo ili upate fanya kubofya na kupakua kwenye hiyo attachement https://tropicalcentre.ac.tz/wp-content/uploads/2025/09/TROPICAL-CENTRE-FINAL-EXAMS-RESULTS-JULY-2025.pdf. hivyo kwa yeyote mwenye supplimentary afanye kuwahi mapema mwezi wa kwanza 2026 ratiba itatolewa hivi punde.